WAJUMBE WA BODI YA KAMPUNI YA RELI WAPIGWA MSASA KWA SIKU MBILI - TRC Blog

Home Top Ad

"TOGETHER WE MOVE"

Wednesday, November 1, 2017

WAJUMBE WA BODI YA KAMPUNI YA RELI WAPIGWA MSASA KWA SIKU MBILI

Bodi ya Kampuni ya Reli Tanzania imepigwa msasa kuhusu masuala ya uendeshaji wa bodi ya kampuni pamoja na namna ya kufikia maamuzi kitaalam. Mafunzo hayo yametolewa na taasisi ya INSTITUTE of DIRECTORS IN TANZANIA(IoDT) kwa muda wa siku mbili katika ukumbi wa TPA jijini Mwanza.
Wajumbe wa Bodi ya TRL wakiwa pamoja na Mkufunzi Dr. Kassim Hussein wa tatu kushoto(aliyeketi) kutoka INSTITUTE OF DIRECTORS IN TANZANIA(IoDT) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza mafunzo ya kozi fupi ya BOARD INDUCTION COURSE





Wajumbe wa TRL wakifuatilia kwa umakini darasa kutoka kwa Dr. Kassim Hussein wa INSTITUTE OF DIRECTORS IN TANZANIA
Mwenyekiti wa Bodi ya TRL Prof. John Wajanga Kondoro akipokea cheti baada ya kumaliza kozi maalumu ya ‘Board Induction Course’ kutoka kwa mkufunzi Dr. Kassim Hussein wa INSTITUTE of DIRECTORS IN TANZANIA 

Mjumbe na mkurugenzi wa TRL Prof. Ndg. Masanja Kungu Kadogosa akipokea cheti baada ya kumaliza kozi maalumu ya ‘Board Induction Course’ kutoka kwa mkufunzi Dr. Kassim Hussein wa INSTITUTE of DIRECTORS IN TANZANIA 


Mjumbe wa Bodi ya TRL Ndg. Mahmoud M. Mabuyu akipokea cheti baada ya kumaliza kozi maalumu ya ‘Board Induction Course’ kutoka kwa mkufunzi Dr. Kassim Hussein wa INSTITUTE of DIRECTORS IN TANZANIA 
Mjumbe wa Bodi ya TRL Bi. Martha Judith Maeda akipokea cheti baada ya kumaliza kozi maalumu ya ‘Board Induction Course’ kutoka kwa mkufunzi Dr. Kassim Hussein wa INSTITUTE of DIRECTORS IN TANZANIA 
Mjumbe wa Bodi ya TRL Eng. Karrim Mataka akipokea cheti baada ya kumaliza kozi maalumu ya ‘Board Induction Course’ kutoka kwa mkufunzi Dr. Kassim Hussein wa INSTITUTE of DIRECTORS IN TANZANIA 
Mjumbe wa Bodi ya TRL Ndg. Linford Mboma akipokea cheti baada ya kumaliza kozi maalumu ya ‘Board Induction Course’ kutoka kwa mkufunzi Dr. Kassim Hussein wa INSTITUTE of DIRECTORS IN TANZANIA 
Mjumbe wa Bodi ya TRL Eng. Charles M. Mvungi akipokea cheti baada ya kumaliza kozi maalumu ya ‘Board Induction Course’ kutoka kwa mkufunzi Dr. Kassim Hussein wa INSTITUTE of DIRECTORS IN TANZANIA 


Mjumbe wa Bodi ya TRL Marima G. Mwanilwavakipokea cheti baada ya kumaliza kozi maalumu ya ‘Board Induction Course’ kutoka kwa mkufunzi Dr. Kassim Hussein wa INSTITUTE of DIRECTORS IN TANZANIA 
Mwanasheria wa TRL Hawa W. mwenda akipokea cheti baada ya kumaliza kozi maalumu ya ‘Board Induction Course’ kutoka kwa mkufunzi Dr. Kassim Hussein wa INSTITUTE of DIRECTORS IN TANZANIA 

No comments:

Post a Comment