TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUREJEA KWA SAFARI ZA TRENI KUTOKA DAR KWENDA BARA - TRC Blog

Home Top Ad

"TOGETHER WE MOVE"

Tuesday, February 27, 2018

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUREJEA KWA SAFARI ZA TRENI KUTOKA DAR KWENDA BARA


Kampuni ya Reli Tanzania(TRL) inautangazia umma kurejea kwa safari zake za treni za abiria zitakazoanzia kituo cha Dar es Salaam kuelekea bara siku ya Ijumaa tarehe 02/03/2018. Safari za treni zilisitishwa kwa muda tangu tarehe 11/01/2018 baada ya mafuriko kuharibu miundombinu ya reli katika eneo la Kilosa na Gulwe.   

2 comments:

  1. Naomba kujua nauli kutoka morogoro kwenda mwanza kwa daraja la pili

    ReplyDelete
  2. Kujua nauli kutoka dar kwenda mwanza

    ReplyDelete